![]() |
| Mchana
wa jana mitaa ya PPF House mwizi huyu(aliolala hapo chini) alinusurika
na kipigo cha hali ya juu baada ya kiba simu kwa njia ya mazingira kwani
mwizi huyo alikutwa na bonge la HIRIZI ambalo linasadikiwa ndio linampa
mchizi makonfidensi ya kuwakwapulia watu mali zao bila wao kushtuka.
Pichani hapa chini tunaona kijana akionyesha hirizi ya mwizi huyo baada
ya kumkamata na kumsach na kumtuta nayo. Hii tabia ya kuiba kwa kutumia uchawi nilishawahi kuishuhudia kwa macho; kwani kuna kipindi tuliingiliwa na majambazi na mmojawapo alipokamatwa alikutwa na bonge la hirizi pia. Sasa kama hao wachawi wanaweza kuwatengenezea mahirizi muweze kuiba bila kukamatwa kwanini wasiwatengenezee hirizi mtumie mpate kazi na kuacha kuibia wenzenu waliopata shida kujipaia riziki na kununua vitu hivyo? Ndio maana mnaishia kuchomwa moto kila siku shenzy zenu ![]() Picha kwa Hisani ya Issa Michuzi |
Magazetini Leo Januari 17, 2025; Mauaji ya Kutisha
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
7 hours ago



No comments:
Post a Comment