Wakazi wa Zanzibar wakiwa wamekusanyika katika Bandari ya Malindi
mjini Unguja Zanzibar jioni ya leo wakati miili ya baadhi ya abiria wa
Boti ya Seagal "MV Skagit" wakitolewa baada ya boti hiyo kuzama na
kupoteza maisha ya watu zaidi ya 200 hii leo ikitokea jijini Dar es
Salaam.
Askari wa JWTZ wakiwa wamejipanga wakati wa zoezi la kupokea maiti.
Moja ya maiti ikiwa imebebwa na askari
Maiti ingine ikiwa imebebwa...
Ni hali ya huzini Visiwani humo na jijini Dar es Salaam na Tanzania
kwa ujumla. Ajali hii imetokea ikiwa imepita miezi kadhaa baada ya meli
nyingine ya Abiria kupoteza uhai wa watu visiwani humo.
Picha na Daily Mitikasi Blog
No comments:
Post a Comment