Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mazishi ya kada wa CCM
mzee Azzan Ally Mangushi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini
Dar es Salaam leo mchana. Mzee Mangushi aliwahi pia kuwa mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni.
SERIKALI YATANGAZA NEEMA KWA WAKULIMA KUPITIA VISIMA VYA UMWAGILIAJI
-
Njedengwa - Dodoma 📍
SERIKALI inaendelea na utekelezaji wa mkakati wake wa kuongeza tija katika
kilimo baada ya kusambaza pampu za Umwagiliaji kwa vikun...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment