Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 28, 2013

HUU NDIO UJUMBE MZITO ALIOACHA JACKIE CLIFF KABLA YA KUDAIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA,USOME HAPA


Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na  kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.
Jackie amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin  na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya. 
Katika maisha kila mtu ana yule rafiki mmoja (BFF) ambaye anamuamini na kumweka moyoni mwake kama ilivyo kwa Jackie na Marin.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:

Post a Comment