Pamoja na wajanja kuvamia nyumbani kwake kwa nia ya kumwibia vitu vyake vya thamani juzi kati na baadaye kushindwa kutimiza adhma yao, Wema Sepetu is here once again kuwa-prove wrong.
Diva huyu toka Bongo movies aitwaye Wema Abraham Sepetu baada ya ku-launch movie yake ya superstar kwa kumdondosha Omotola toka Nollywood industry ya Nigeria at Kempinski na baadaye kufanya family party pale Girafe Hotel, yuko tayari kuvunja bank kwa ajili ya kuagiza mkoko mpya aina ya Toyota Prado.
Gari hiyo aina ya Prado itakayo gharimu kiasi cha hela ya Tanzania million sitini mpaka kufika hapa na mambo mengine yote kama usafirishaji na gharama za ushuru wote husika, hiyo itakuwa inakamilisha gari yake ya tatu baada ya ile Mark X Harrier.
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment