DJ SEK EXCLUSSIVE: STEVE RNB APATA MENEJA MPYA AMBAYE NI SEIF KABELELE
Huyu ndie meneja mpya wa Mwanamuziki
Steve RnB , anaitwa Seif Kabelele, Kuanzia sasa ndiye atakayesimamia
Kazi za Muziki za Msanii Steve RnB.
Steve RnB, Mwanamuziki aliyetamba kwenye ngoma ya Tabasamu
Mwanamuziki Kutoka Tanzania katika
miondoko ya RnB Steve RnB leo amepata Manager mpya ambaye atakuwa
akisimamia kazi zake zinazohusiana na muziki wake.
Uchumi : Rais Samia Aipa BOT Dira Mpya
-
Na Janeth Raphael MichuziTv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameielekeza
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuongeza uwezo wa kuc...
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment