Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini.
MIKOA 9 KUNUFAIKA MPANGO WA KUWAVUTIA VIJANA KATIKA KILIMO CHA KISASA.
-
Vijana katika mikoa tisa nchini wanatarajiwa kunufaika na Programu ya
Mifumo Himilivu ya Chakula inayotekelezwa na Wizara ya Kilimo kwa lengo la
kuongeza...
2 hours ago




No comments:
Post a Comment