Wayne
Rooney amefunga mabao mawili na kuanza mapema kusherehekea miaka yake
27 ya kuzaliwa wakati Manchester United' ikiifunga 4-2 Stoke, hivyo
kutimiza mabao 200 katika klabu hiyo. Mabao mengine yalifungwa na Danny
Welbeck na Robin van Persie.
TAKWIMU ZA MECHI
Man
United: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia (Nani 74),
Scholes (Anderson 70), Carrick, Welbeck (Hernandez 78), Van Persie,
Rooney
MABAO: Rooney dk27, dk65, Van Persie dk44, Welbeck dk46
NJANO: Scholes
BENCHI: Lindegaard, Giggs, Powell, Wootton
Stoke: Begovic,
Cameron, Huth, Shawcross, Wilson, Nzonzi, Whitehead (Palacios 86),
Walters (Etherington 70), Adam, Kightly (Owen 74), Crouch
MABAO: Rooney (kujifunga) dk 11, Kightly dk58
NJANO: Kightly
BENCHI: Sorensen, Jones, Upson, Wilkinson
REFA: Anthony Taylor (Cheshire)
Wayne Rooney (Na 10) akifunga kwa kichwa
Wayne Rooney baada ya kufunga
Robin van Persie akishuhudia mpira unavyotinga nyavuni baada ya jitihada zake
Kipa wa Stoke, Asmir Begovic akimvaa Robin van Persie
Wayne Rooney alifanya kosa lililolipa Stoke bao la kuongoza
Danny Welbeck akishughulika
Washambuliaji wa United, Wayne Rooney (kushoto), Robin van Persie na Danny Welbeck (kulia) wote walifunga
Juan Mata amefunga mabao mawili ndani ya
dakika mbili na kuzima matumaini ya Andre Villas-Boas kulipa kisasi cha
kufukuzwa kazi Chelsea kwenye Uwanja wa White Hart Lane.
Villas-Boas, alifukuzwa Chelsea siku 226
zilizopita baada ya miezi minane ya kwua kazini na alifanikiwa kuongoza
mechi ya leo kwa mabao ya William Gallas na Jermain Defoe, kabla ya The
Blues kuzinduka dakika 20 za mwisho.
Juan Mata akishangilia mbele ya mashabiki wa Chelsea
TAKWIMU ZA MECHI
TOTTENHAM: Friedel, Walker, Gallas, Caulker, Vertonghen, Huddlestone (Livermore 67), Sandro, Lennon, Sigurdsson, Dempsey (Adebayor 74), Defoe. Subs not used: Lloris, Naughton, Dawson, Falque, Townsend.
NJANO: Walker, Gallas, Hudlestone.
WAFUNGAJI: Gallas dk46, Defoe dk54.
CHELSEA: Cech, Ivanovic, Luiz, Cahill, Cole, Ramires, Mikel, Oscar (Sturridge 83), Hazard (Lampard 90), Mata, Torres. Subs not used: Turnbull, Romeu, Moses, Azpilicueta, Bertrand.
NJANO: Ivanovic, Ramires.
WAFUNGAJI: Cahill dk18, Mata dk66, dk69, Sturridge dk90
REFA: Mike Dean (Wirral)
Mengi yamefanywa na Eden Hazard na Oscar
tangu wawasili msimu huu, lakini alikuwa ni Mata, aliyesajiliwa na
Villas-Boas msimu uliopita, ambaye aliutuliza mchezo huo kwa
mashambulizi yake yenye akili.
Mspanyola huyo alifunga bao lake la tano
msimu huu akitumia makosa ya Gallas na kisha akafunga bao lingine
lililofanya wawe mbele kwa 3-2 akiunganisha pasi ya Hazard.
Roberto Di Matteo, aliyekuwa Msaidizi wa
Villas-Boas msimu uliopita aliinuliwa kitini na Daniel Sturridge
aloiyefunga bao liloifanya Cheslea ishinde 4-2.
Gary Cahill akiifungia bao la kwanza Chelsea
William Gallas alipoisawazishia Tottenham
Jermain Defoe akipasua ukuta wa Cheslea
Mata
Mata
Daniel Sturridge alitokea benchi kufunga la nne
No comments:
Post a Comment