Mshambuliaji wa Coastal Union ya Tanga, Nsa Job akiwa amefungwa bandeji gumu (POP) baada ya kuvunjika goti wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya JKT Ruvu uliofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Coastal Union ilishinda 3-0. (Picha na Habari Mseto Blog)
Afya : Wadau washauri Bajeti mtazamo wa kijinsia kusaidia watoto Njiti
-
Na Deogratius Temba, Dar es salaam
Mtandao wa Haki ya afya ya uzazi umeshauri Serikali kutenga bajeti yenye
mtazamo wa Kijinsia katika sekta ya afya ili...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment