Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa
Canada Mhe. John Baird baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Macdonald Cartier jijini Ottawa, Canada, kwa ziara rasmi ya
siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni huku akiangaliwa na
Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada Mhe. John Baird baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Macdonald Cartier jijini Ottawa,
Canada, kwa ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4,
2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika viwanja vya jumba la Rideau Hall
jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya kuanza ziara
rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012. Jumba hilo
ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana Jenerali wa Canada tangia mwaka
1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia hapo ndipo hutumika kwa
kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema, pa kupokelea wageni
mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia shughuli zote za
kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi katika viwanja vya jumba
la Rideau Hall jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya
ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012. Jumba
hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana Jenerali wa Canada tangia
mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia hapo ndipo hutumika kwa
kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema, pa kupokelea wageni
mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia shughuli zote za
kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Jakaya
Mrisho Kikwete akitambulisha ujumbe wake kwa Gavana Jenerali wa Canada
Mhe. David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson katika viwanja vya jumba
la Rideau Hall jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya
ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012.Jumba
hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana Jenerali wa Canada tangia
mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia hapo ndipo hutumika kwa
kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema, pa kupokelea wageni
mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia shughuli zote za
kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba fupi baada ya kuwasili katika
viwanja vya jumba la Rideau jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya
kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4,
2012. Jumba hilo ndilo makazi na ofisi rasmi ya Gavana Jenerali wa
Canada tangia mwaka 1867 ambapo pamoja na kuishi humo pia hapo ndipo
hutumika kwa kuwatunukia wananchi wa Canada waliofanya vyema, pa
kupokelea wageni mashuhuri wa nchi za nje na pia ndipo anapofanyia
shughuli zote za kitaifa akiwa kama mwakilishi wa Malkia wa Uingereza.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Gavana Jenerali wa Canada Mhe.
David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson kuingia jumba la Rideau
jijini Ottawa, Canada, katika hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya
siku mbili jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake katika mazungumzo na Gavana
Jenerali wa Canada Mhe. David Johnson na mkewe Mama Sharon Johnson na
viongozi wa serikali ya nchi hiyo katika jumba la Rideau jijini Ottawa,
Canada, katika hatua yake ya kwanza ya ziara rasmi ya siku mbili
jijini humo Jumatano Oktoba 4, 2012
No comments:
Post a Comment