Mchezaji
wa timu ya Yanga ya jijini Dar es salaam akimiliki mpira mbele ya beki
wa timu ya Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jioni hii jijini Dar es salaam,
mpira umekwisha timu ya Yanga imeifunga Ruvu Shooting magoli 3-2, Goli
la tatu la timu ya Yanga limepatikana katika kipindi cha pili cha
mchezo huo baada ya kutoka uwanjani kwa mapumziko zikitoshana nguvu kwa
kufungana magoli mawili kwa mawili katika kipindi cha kwanzaMchezaji
wa Yanga Jerrison Tegete akishangilia mara baada ya kufunga goli la
pili katika mchezo huo na kufanya kipindi cha kwanza kumalizika timu
zikitoshana nguvu kwa magoli, mpaka kipindi cha pili ambapo Yanga
iliongeza goli la tatu na kufanya matokeo hayo kuwa 3-2
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI SMZ YAKAMILISHA ZIARA YA SIKU MBILI
VETA KAGERA
-
UJUMBE kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar umekamilisha ziara ya siku mbili katika Chuo cha Ufundi Stadi
na Hud...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment