Mwenyekiti
mpya kwa mara nyingine wa CCM Taifa, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akipongezwa na mkewe Mama Salma
Kikwete, mara baada ya kutangazwa kuibuka kidedea katika uchaguzi,
uliomalizika hivi punde katika Ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma. Wengine
waliotangazwa katika kinyang'anyiro hicho ni pamoja na Makamu Mwenyekiti
wa CCM Bara, Phillip Mangula, Makamu Mwenyekiti, Zanzibar na Dkt. Ali
Mohamed Shein.
Mwenyekiti mpya kwa mara nyingine wa CCM Taifa, na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akipongezwa na Rais Mstaafu
wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, mara baada ya kutangazwa kuibuka
kidedea kwa kura za asilimia 100 katika uchaguzi, uliomalizika hivi
punde katika Ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma.
Mwenyekiti mpya kwa mara nyingine wa CCM Taifa, na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akipongezwa na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Taifa wa Zanzibar, Aman Karume, mara baada ya
kutangazwa kuibuka kidedea kwa kura za asilimia 100 katika uchaguzi,
uliomalizika hivi punde katika Ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma.
Kikwete, akipongezwa na baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu.
Mwenyekiti
mpya wa CCM Taifa kwa mara nyingine, Jakaya Mrisho Kikwete, akifurahia
na kucheza kwa furaha baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo na
yeye kuibuka kidedea kwa kura za asilimia 100.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, akipita kumpongeza Mwenyekiti Mpya wa CCM
Taifa, Jakaya Kikwete, baada ya kutangazwa matokeo hayo leo katika
Ukumbi wa Kizota, mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment