Mtalaamu Mwelekezi wa Taasisi ya Bico ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Abdalah Chungu akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mradi wa ujenzi wa kitegauchumi cha Jeshi la Polisi na nyumba 350 za jeshi hilo.Ujenzi wa Kitegauchumi hicho utafanywa na Kampuni ya Mara Group Ltd ya Uganda eneo la polisi lililopo Namanga, Oysterbay, Dar es Salaam. Kushoto ni Msemaji wa jeshi hilo, Advela Senso.Picha ya chini anayeonekana kulia ni Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Isaac Nantanga.
DKT.NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOANI DODOMA
-
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM)
ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment