Wachezaji
wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ya Serengeti Boys
wakishangilia bao lililofungwa na Mudathiri Yahaya Abbas wakati timu
hiyo ilipopambana na Congo Brazzaville katika mchezo wa kuwania kufuzu
fainali za Afrika kwa vijana wenye umri huo, zitakazofanyika mwakani
nchini Morocco. Serengeti Boys imeshinda 1-0. (Picha zote na Habari
Mseto Blog)
Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Jacob Michelsen na msaidizi wake Jamhuru Kihwelo wakipongezana baada ya mchezo kumalizika.
Mshambuliaji
wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ya Serengeti Boys, Hussein
Twaha akiwatoka mabeki wa timu ya Congo Brazzaville katika mchezo wa
kufuzu kwa fainali za Afrika kwa vijana wenye umri huo zitakazofanyika
mwakani nchini Morocco. Mchezo huo ulifanyika leo kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam. Serengeti Boys imeshinda 1-0.
Mshambuliaji
wa timu ya Srengeti Boys, Faridi Mussa (katikati) akiwania mpira huku
beki wa Cpngo Brazzaville, Tmouele Ngampio akijaribu kumzuia. Kulia
ni Golipika wa Congo Brazzaville, Ombandza Mpea akijaribu kuokoa hatario
langoni mwake.
Waamuzi wa mchezo huo wakitoka baada ya kwisha kwa pambano hilo
Mshambuliaji wa Serengeti Boys, Tumain Baraka akichuana na beki wa Congo Brazzaville, Okombi Francis
Heka heka katika lango la Congo Brazzaville
Wachezaji
wa Serengeti Boys, Hussein Twaha (shoto), Joseph Lubasha na Selemani
Hamis Bofu wakibadilioshana mawazo wakati wakitoka mapumziko
Selemani Hamis Bofu akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Congo Brazzaville,
No comments:
Post a Comment