Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Titus Kaguo
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam,
kuhusu jitihada zilizofanywa na Serikali kukabiliana na uhaba wa mafuta
nchini, ambapo imeamua kupunguza kiwango cha mafuta yanayosafirishwa
kwenda nchi jirani na kuongeza kwenye soko la ndani. PICHA NA RICHARD
MWAIKENDA
JAB YAKEMEA UVUNJAJI WA SHERIA ZA AJIRA KATIKA SEKTA YA HABARI
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye
vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment