Baadhi
ya wanafunzi wanaosafiri kwa treni kutoka katikati ya Jiji la Dar es
Salaam kuelekea Ubungo wakiwa wamepanga mabegi yao kwenye mstari huku
wao wakiwa wamepumzika pembeni wakisubiri usafiri huo. Kwa utaratibu wa
kawaida wa usafiri huo abiria hutakiwa kupanga foleni ili inapowasili
kila abiria aingie kadri ya ulivyowahi kwenye foleni hiyo.
Baadhi ya
wanafunzi wanaosafiri kwa treni kutoka katikati ya Jiji la Dar es
Salaam kuelekea Ubungo wakiwa wamepanga mabegi yao kwenye mstari huku
wao wakiwa wamepumzika pembeni wakisubiri usafiri huo. Kwa utaratibu wa
kawaida wa usafiri huo abiria hutakiwa kupanga foleni ili inapowasili
kila abiria aingie kadri ya ulivyowahi kwenye foleni hiyo.
BAADHI ya
Wanafunzi jijini Dar es Salaam ambao hutumia treni ya abiria inayofanya
safari zake Ubungo na Katikati ya Jiji la Dar es Salaam (Stesheni)
wamebudi staili mpya ya kuepuka kupanga mstari mrefu huku wakisimama
muda mrefu kusubiri usafiri huo.
Wanafunzio
hao wanapofika mapema kituoni hupanga mabegi yao kwa mstari na wao
kupumzika pembeni hadi treni inapofika ndipo huinuka katika maeneo
mbalimbali waliokaa na kuingia kwenye mstari kwa kufuata begi la mtu.
Begi moja kwenye mstari humwakilisha mwanafunzi mmoja. Thehabari
imeshuhudia utaratibu huu waliobuni wanafunzi kuepuka wao kusimama muda
mrefu wakiisubiri treni kuwasili kituoni.
Kikawaida
abiria wanaosafiri kwa treni hiyo wakiwemo wanafunzi husimama kwa
foleni kwa muda mrefu wakisubiri usafiri huo, huku kukiwa hakuna viti
vya kutosha kupumzikia wasafiri wanaposubiri usafiri huo.
No comments:
Post a Comment