Milionea Abdul
Hasan mwenye umri wa miaka 23 amefanya uamuzi wa kulipia ndege tatu
zilizowahi kutumika kwenye utengenezaji wa movie za James Bond ambapo
ndege gizo hizo zitatumika kwenye harusi yake itakayofungwa angani,
ametaka iwe hivyo kwa sababu anapenda sana movie za James Bond yeye na
mkewe mtarajiwa.
Pamoja
na hayo Abdul amesema kwenye hiyo harusi ambayo anataka iwe ya kijames
Bond amempata mtu anaefanana na Daniel Craig ambae pia ni staa wa movie
za James Bond, harusi itafungwa angani kwenye hiyo ndege hapo juu na
itahudhuriwa na watu 200 tu.
Abdul na mpenzi wake wakiwa na jamaa anaefanana na mmoja kati ya mastaa waliowahi kuigiza kwenye movie za James Bond.
Wametumia miezi 10 kuandaa hii harusi.
Abdul na mke wake watatumia helikopta iliyotumika kwenye movie ya James Bond ya GoldenEye mwaka 1995 kwenda honey moon.
No comments:
Post a Comment