Meneja
Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Tigo Goodluck Charles, akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu huduma mpya
inayomuwezesha mteja kununua kifurushi cha Extreme kupitia Tigopesa,
kushoto ni Afisa Masoko wa Tigo Jacqeline Nnunduma na Afisa Uhusiano wa
Tigo Mariam Mlangwa.
Afisa
Masoko wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Jacqueline Nnunduma
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wakitangaza huduma mpya
ya kununua kifurushi cha Xtreme kupitia Tigopesa.
Faida
atakazopata mteja atakayetumia huduma ya Xtreme kupitia tigopesa ni
pamoja na muda wa nyongeza wa Tsh.450 utakao muwezesha kupiga simu
kwenda mitandao yote nchini. Mbali na hilo wateja wataweza kununua
vifurushi hivyo kwaajili ya ndugu jamaa na marafiki.
No comments:
Post a Comment