Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, January 13, 2013

HII ndio KAMPUNI AIANZISHAYO WEMA SEPETU IITWAYO ENDLESS FAME FILMS



Kupitia mtandao wa kijamii wa picha wa Instagram, Wema Sepetu ameshare picha za kwanza zinazoonesha logo ya kampuni yake iitwayo Endless Fame Films. “Nawaomba mzidi niombea nifike nnapotaka endless fame ifike… Inshallah,” ameandika mrembo huyo.

No comments:

Post a Comment