Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 29, 2013

KIKAO CHA BUNGE CHAANZA NA KUUNDA KAMATI YA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI WA MTWARA KUHUSU GESI



 Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Anne Makinda, akitoa taarifa kwa wabunge (kawapo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha Bunge kilichoanza leo mjini Dodoma kuhusu kuundwa kwa kamati itakayokwenda mkoani Mtwara kusikiliza maoni ya wananchi wa mkoa  huo kuhusu tatizo la suala la gesi.
 Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (kulia)  na Mbunge wa kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia, wakifuatilia masuala mbalimbali Bungeni leo mjini Dodoma.
 Baadhi ya wabunge wakifuatilia maswali na majibu katika kikao cha mkutano wa kumi mjini Dodoma leo.
 Naibu Waziri  Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia , January Makamba, akijibu hoja za wabunge zinazohusu wizara yake Bungeni mjini Dodoma leo.
 Baadhi ya wabunge wakisalimiana baada ya kuahirishwa  kwa kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.
Mbunge wa( Monduli )Edward Lowassa (kulia) akimsikilza Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo, Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment