|
kikosi cha yanga kilichofanya maangamizi leo |
mchezo
mkali nawakuvutia kati ya simba facebook fan na simba facebook fans
umemalizika kwa mashabiki wa Yanga kuwabutua bila huruma mashabiki wa
simba kwa Goli 7-3 katika mchezo Wa bonaza la mashabiki wa vilabu vya
simba na yanga kupitia mtandao wa kijami wa facebook uliopigwa katika
uwanja wa airwing ukonga katika mchezo huo yanga waliwazidi kila idara simba yanga ilikuwa ikiongozwa na wachezaji wake hatari 1.Juma Yakuti Harrison Chadema, Korroso Samwel, Mucky's Zayumba ", Hassan Msafiri, Stanley Kulola, Khalid Lihenga, Valerian Lihega, Ombeni, Osama Yanga na.Castor Willium
|
kikosi cha yanga wakati wa mapumziko |
No comments:
Post a Comment