Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 18, 2013

ANGALIA PICHA GHOROFA LILILOANGUKA LENYEWE SINZA MORI JANA NA KUUA MTU MMOJA



Baadhi ya wakazi wa Sinza, jijini Dar es Salaam wakiangalia Ghorofa lililodondoka maeneo ya Sinza Mori na kusababisha kifo cha mtu mmoja jana.
 Wananchi wakibeba mwili wa mtu mmoja aliyefariki katika ajali hiyo ya kuanguka kwa ghorofa eneo la Sinza Mori jana. Picha na Amanitanzania.

No comments:

Post a Comment