| Baadhi ya mashabiki wa timu yaMbeya City wakicheza na kusubiri timi iingie toka songea |
| Ni vituko mtindo mmoja jamaa kwa furaha ya timu ya Mbeya City kupanda daraja kushiriki ligi kuu anataka kuvua suruali |
| Chales Mwakipesile Dr Samwel Lazaro na mhandisi wa barabara wakipanga ratiba ya mapokezi |
| Hivi ndiyo timu ilivyopokelea maeneo ya uyole jijini Mbeya hapa timu ya Mbeya City inapokelewa na mashabiki wake |

No comments:
Post a Comment