Suma na Asha wakiwa hoi baada ya kufikishwa wodi namba 3 hospital ya
mkoa wa Morogoro,baada ya kiwanda cha kutengeneza nguo za Michezo cha
Mazava kilichopo Msamvu mkoani hapa kupata hitiafu ya umeme leo asubuhi
Mmoja wa mareuhi hao akiwa hoi wodi namba 3 hospital ya mkoa wa Morogoro
Muuguzi akimuhudumia Bi Nyamile Matai
Baadhi ya Ndugu na jamaa wa wafanyazi ho ambao baada ya kupata taarifa
hizo walifurika hospital ya mkoa wa Morogoro na kuwashuhudia ndugu zao
kupitia madirishani kama walivyonaswa
Majerehi huyo jina lake halikupatikana kutokana na hali yake kuwa mbaya
Wauguzi wakiwahudumia majeruhi hao wa kiwanda cha Mazava Everin Misaki[kulia] na Dotto Jumanne
Bi Asha Ally akiwa hoi wodi namba 3 hospital ya mkoa wa Morogoro
Bi, Subira Juma Athumani[kushoto] akiwa na majeruhi wenzake ambao waligoma kutaja majina yao na kupigwa picha.
No comments:
Post a Comment