Kibaka
ambae jina lake halikufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi mkali wa
jeshi la polisi baada ya kutuhumiwa kumwibia simu mama mmoja
aliyefahamika kwa jina la Bi.Amina Abdalah eneo la Posta Mpya jijini Dar
es salaa leoana huyo alishambuliwa vikali na wananchi wenye hasira
kali, hata hivyo aliokolewa na askari polisi waliokuwa doria
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment