Staa wa
bongofleva ambae mwaka huu ni miongoni mwa waliovunja rekodi ya kushika
nafasi ya 1 kwenye top 20 ya Clouds FM Ommy Dimpoz ameondoka bongo leo
kuelekea kwa Malkia kuifanyia kazi mialiko aliyoipokea.
Kwenye Exclusive interview na AMPLIFAYA ya CLOUDS FM siku 14 zilizopita, Ommy Dimpoz alisema show za muziki anazokwenda kuzifanya U.K ndio zitamfanya achelewe kuanza kuifanyia kazi kolabo na Dj Cleo wa South Africa.
Dj Cleo amekiri kwamba yuko tayari kufanya kazi na Ommy Dimpoz, walishaongea lakini haikutokea ila hana tatizo kushirikiana na staa huyu wa ‘me and u’.

No comments:
Post a Comment