Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 27, 2013

DJ-SEK.BLOGSPOT INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ALIOUPATA WEMA SEPETU KWA HABARI TULIYOWEKA JANA,IKIHUSU KAULI YAKE ALIYOTOA BAADA YA KUMSAIDIA KAJALA.














 dj-sek.blogspot.com inaomba radhi kwa habari tuliyoiweka jana ikimuhusu wema sepetu kuhusu kauli yake aliyoitoa baada tu ya kutoa millioni 13 kama faini kumsaidia msanii mwenzie kajala.Habari hiyo tuliipata kwenye mtandao wa facebook,lakini kumbe iyo akaunti ni feki na siyo ya Wema.Tunamuomba radhi Wema kwa usumbufu wowote alioupata kutokana na habari iyo.Habari yenyewe ni hiyo hapo chini......

KAULI YA WEMA BAADA YA KUMSAIDIA KAJALA


Hii ni baada ya kitendo alichokifanya mwanadada huyu kwenye mahakama ya akimu mkazi  - Kisutu, jijini Dar es salaam juzi kwa kuweza kumtoa msanii mwenzie "Kajala Masanja" aliyekuwa akikabiliwa na kesi iliyomlazimu kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au faini ya shilingi millioni 13 za kitanzania. Ndipo mwanadada huyu kujitolea kutoa kiasi hicho cha pesa kwenye account yake na kuweza kumuokoa Kajala dhidi ya huk

No comments:

Post a Comment