ISPECTA Harun pia alikuwepo |
Mnenguaji wa MASAI NYOTAMBOFU akionesha vitu vyake |
Masai nyotambofu kabla ya kuanza show |
Masai nyotambofu akiwasalimia Watazamaji mjini Temeke |
Mshabiki wakisubili Radha kutoka kwa nyotambofu |
Ilikua ni Hatariiiii!!!! |
Nyotambofu akidondosha moja moja |
Masai nyotambofu akiwasha moto mjini Dar es salaam |
Mashabiki wakisema pamoja |
Mashabiki wapo makini na Masai nyotambofu |
Kicheko mpaka machozi |
EEeeeeeeeeeeeeee mpaka kuamua kukaa chini |
Masai nyotambofu akiendelea kumwaga ladha |
Masai nyotambofu akiendeleza kumshukuru mola |
Watu wakiendelea kupewa DHANA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI 2013 |
AAAAAAaaaaaaa zimeisha Jemeni sorry |
Ispecta akiwakonga nyoyo mashabiki wake pamojah na Black fit |
BLACK FIT AKIWA JUKWAANI |
Mashabiki nao walikua makini mbaya |
Masai akiwapa ushauri mashabiki wake baadaaa ya kazi nzito |
Mashabiki kufurahi pamoja na Masai nyotammbofuu |
PICHA YA PAMOJA |
MASHABIKI NAO NOOMA BLACK FIT AKISHANGAA |
No comments:
Post a Comment