Mastaa wa Bongo bado waendelea kutikisa mitandaoni na picha zao za utupu walizopigwa na kujipiga wao
wenyewe na kuvuja kama ilivyo kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa
Bongo Fleva uitwao Jambo Jambo wa msanii Steve RnB, Aisha Firozi ‘Sapna’ ni
kawaida kwani hujifotoa mwenyewe.
Rafiki wa video queen huyo ambaye ndie aliyewasilisha
picha hizo na kutaka jina lake lisiweekwe hadharani alisema
“Yule ni mtu wangu
wa karibu sana, lakini tabia yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga
picha chafu mwenyewe, kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.
”
Aidha alizidi
kuongeza kuwa picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani kwa rafiki yake
aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es Salaam, ambapo ni mahali video
queen huyo huishi yeye pamoja na rafiki yake huyo.
BAADA YA PICHA HIZI KUSAMBA NDIO SAPNA ALIPO TAFUTWA NA
KULIZWA NA ALIKUWA NA HAYA YA KUSEMA.....
“Hizo kweli ni picha zangu na nilijipiga mwenyewe sasa
sijui wewe umezipataje na zimefi kaje huko kwenu? Mimi nilipiga kwa masilahi
yangu mwenyewe, huwa natamani sana kujiangalia jinsi umbo langu lilivyo, ndiyo
maana niliamua kujipiga na si vinginevyo.
“Kila mtu na maisha yake na mimi sikuwa na dhamira mbaya
kujipiga picha hizo zaidi ya kujiangalia tu nilivyo,” alisema Sapna.
No comments:
Post a Comment