Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 10, 2013

LIVE MATCH CENTRE: SIMBA VS COASTAL UNION



shomari kapombe anafunga goli lakini ni offside
dk ya 49 coastal union wanapata goli la kwanza
halftimeeeeeeeee simba wanaongoza goli mbili kwa bila
dk45 chanongo anaandika goli la pili
dk44 mrisho ngasa anatia kimiani mpira uleee
zimeongezwa dk 4 kabla ya mapumziko
 mrisho ngaza anakosa goli hapa inakuwa kona
 mchezaji wa simba yupo chini ni shomari kapombe
 leo wachezaji wakongwe wa simba wapo bechi
dk ya 33 bdo ni bila bila
amri kiemba amewekwa chini na inakuwa ni faulooo
ngasa anpigwa mtama na inakuwa ni faulooo
mashabiki wa simba wanapiga kelele wakidhani ni penati baada ya mchezaji wa coast kushika mpira 
Chanongo anapiga mpira na inakuwa kona,mrisho ngasa anapiga  kona lakini shabani kado anakamata
Dk 9 Mpira unaendelea baada ya Kado kutibiwa.

Dk 7 Kipa wa Coastal Union, Shaaban Kado anaumia mpira unasimama ili aweze kutibiwa kwa muda.

Dk 01 MPIRA UMEANZA!

Simba Line Up: Abel Dhaira, Nassor Masoud 'Chollo', Miraji Adam, Hassan Khatib, Shomari Kapombe, Jonas Mkude, Amri Kiemba, Rashid Ismail, Abdalah Seseme, Haruna Chanongo, Mrisho Ngassa.

KIKOSI CHA COASTAL UNION

 Shaaban Kado, Hamad Juma, Abdi Banda, Philip Mugenzi, Mbwana Kibacha, Razakh Khalfan, Mohammed Sudi, Suleiman Kassim 'selembe', Mahundi, Danny Lyanga na Gabriel Barbosa.

No comments:

Post a Comment