Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, March 23, 2013

WAKILI MAWALLA WA ARUSHA AFARIKI



Wakili maarufu wa Mahakama Kuu ya Tanzania kutoka Kampuni ya Mawala Advocates ya Jijini Arusha, Nyaga Paul Mawalla amefariki dunia.
Taarifa ambazo zimesambaa katika mji wa Arusha na Viunga vyake zinaarifu kuwa Wakili huyo amefikwa na Umauti akiwa jiji la Nairobi nchini Kenya.
 
Source: Father Kidevu

No comments:

Post a Comment