Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 30, 2013

HUZUNI::TAZAMA PICHA ZA HAMMER Q ALIVYOMTOA MANUNDU MKEWE


Baadhi ya picha za mkewe baada ya kipigo






Nguo za Hammer Q zikiwa zimetapakaa damu



Hiki ni kipigo ambacho  Salha  alikipata baada ya kumtambulisha rafiki yake wa kiume ambae ni Tx Moshi kwa mumewe Hammer Q.

Baada  ya  utambulisho  huo....sinema  ya  ngumi  na  mateke  ilianza....
Inavyosemekana alimpiga mateke, mangumi, akampasulia kioo kichwani, kampiga na jiko la mkaa kichwani

Credit: Zeddyliciousblog

No comments:

Post a Comment