Kama
siku mbili tatu hizi mwanadada Komando Lady Jay Dee (Jide) ambae
anafanya fresh na ngoma yake ya Joto Hasira akiwa na Prof. Jay
ameonekana akifunguka na kutoa ya moyoni, issue kubwa ni kuhusu nyimbo
zake kutopigwa na kituo flani cha radio, leo amefunguka zaidi na kutaja
wasanii wawili ambao walikatazwa kufanya show Nyumbani Lounge sehemu
ambayo inamilikiwa na Jide.
WASIRA AWAHAKIKISHIA WANANCHI CCM ITABEBA SHIDA ZAO
-
Na Mwandishi Wetu
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira, amewahakikishia
wananchi mkoani Mara kuwa Chama kitaendelea kuzibeba changamoto
z...
23 minutes ago
No comments:
Post a Comment