MWILI WA MAREHEMU YOHANA MDA MCHACHE BAADA YA KUUAWA NA WANAJESHI WA JWTZ.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela.
Askari
anayedaiwa ni wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anadaiwa kuua
dereva wa bajaj kwa kutumia bunduki katika maeneo ya Kawe Shoko, jijini
Dar es Salaam.
Tukio la kuuawa kwa kijana huyo jana jioni inadaiwa lilitokana na kutokea mabishano kati yake na mwanajeshi huyo wakati ikipita eneo ambalo raia hawaruhusiwi kupita.
Vurugu kubwa zilitokea katika eneo hilo baada ya kutio hilo huku vijana wenzake marehemu kukusanyika kuhoji sababu za kuawa kwa mwenzao.
Mashuhuda walisema kuwa baada ya askari kuho kumpiga risasi kijana huyo na kumuua, mwili wake ulichukuliwa na gari la kubebea wagonjwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo.

SOURCE AUDIFACEJACKSON BLOG
No comments:
Post a Comment