Ndoa ya msanii Linah Sanga iliyokuwa ifungwe mwezi wa saba imehairishwa kutokana na Mambo flani kutokamilika.Akiilizwa na 255 ya XXL ya Clouds fm lina amesema mambo flani ambayo hayajakamilika ni pamoja na mchumba wake huyo kujipanga vizuri kwa harusi.
CREDIT XXL YA CLOUDS FM
No comments:
Post a Comment