Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, April 26, 2013

UWEKAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA KIVUKO CHA DSM-BAGAMOYO


1-baadhi ya viongozi wakiwa katika meza kuu 
Baadhi ya viongozi wakiwa katika meza kuu3-- mtendaji mkuu TEMESA,magufuli,sadick na mrango 
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Marceline Magesa (kulia) akizungumza  katika hafla ya uwekaji saini  mkataba wa ujenzi wa kivuko cha Dar es Salaam- Bagamoyo leo jijini . Kivuko hicho  kitakuwa na uwezo wa  kubeba watu 300 , kitagharimu  shilingi7.91 bilioni.(bilioni7.91 za tz).Pichani  kutoka kulia ni Waziri wa Uchukuzi Dkt,John Magufuli,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam  Mecky Sadick, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi , Balozi Herbert Mrango.

4-hii ndo meli itakavyokuwa 
Picha ya mchoro ya kivuko cha  Dar es Salaam – Bagamoyo kitakavyokuwa.5- uwakaji saini (mama kulia) na mwakilishi pamoja na viongozi na watendaji wa kuu 
Mtendaji Mkuu wa TEMESA Mhandisi Marceline Magesa (mwanamke) , na mwakilishi wa kampuni ya  JOHS GRAM HANSSEN A/S ya  Denmark  Andreas Gottrup wakiweka  saini mkataba wa ujenzi wa Kivuko  cha Dar es Salaam- Bagamoyo leo jijini Dar es Salaam, katika hafla iliyoshuhudiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (aliesimama katikati) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mecky Sadick(alie vaa  shati la kitenge) Balozi wa Denmark nchini Tanzania  Mh, Johnny Flinto (mzungu aliesimama  mstari wa nyuma). Pamoja na watendaji wakuu wa  Wizara ya Ujenzi.

No comments:

Post a Comment