Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, June 16, 2013

BREAKING NEWSS::MOTO MKUBWA UNAWAKA ENEO LA MIANZINI ARUSHA NA KUSABABISHA KIFO CHA MTU MMOJA


MOTO MKUBWA UMEIBUKA ENEO LA MIANZINI BARA BARA KUU YA KUELEKEA NAIROBI KENYA KARIBU KABISA NA MATAA YA KUONGOPZEA MAGARI,MTU MMOJA AMEFARIKI PAPO HAPO KWA KUUNGUA NA MOTO NA MMOJA NI MAJERUHI,MAJIRANI NA VYOMBO VYA USALAMA WAPO ENEO LA TUKIO WAKIJARIBU KUUZIMA MOTO HUO.HABARI ZAIDI ENDELEA KUWA NASI

No comments:

Post a Comment