Msanii wa muziki wa kizazi Langa Kileo amefariki dunia jioni ya leo katika
hospitali ya Muhimbili baada ya kuugua ugonjwa wa Malaria.
Langa ambaye aliingia rasmi kwenye muziki baada ya kuwa mmoja ya washindi
Coca Cola Pop Star, ambapo aliunda kundi la WAKILISHA kwa pamoja na Shaa
pamoja na Witness. Walifanikiwa kutoa nyimbo kadhaa ambazo zilitamba sana
kwenye vituo vya Radio na Television.
Kwa taarifa zaidi kuhusu msiba huu endelea kutembelea

No comments:
Post a Comment