Kwenye maelezo aliyoyatoa kwa millardayo.com Aminiel amesema Marehemu Langa alipokelewa kwenye idara ya wagonjwa wa magonjwa ya dharura usiku wa kuamkia jana na kupatiwa huduma ambapo leo June 13 2013 ndio alihamishiwa kwenye chumba cha wagonjwa Mahututi na baadae kufariki dunia.
MABORESHO YA BANDARI YA TANGA YAONGEZA UFANISI KATIKA UHUDUMIAJI MELI
-
Na Oscar Assenga, TANGA
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) umesema kwamba maboresho
makubwa yaliyofanywa katika Bandari ya Tanga umepelekea ...
3 hours ago



No comments:
Post a Comment