Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 18, 2013

HII NDIO NYUMBA YA MILELE YA MAREHEMU LANGA KILEO


Hapa ndipo alipozikwa rafiki wa kweli(Langa)



 Baba na mama yake wakiweka taji kwenye kaburi!!


Baba na mama yake Langa wakiweka shada la pamoja!!!




Huyu jamaa alibaki kaburini peke yake akilia bila kupata msaada 

wowote wakubembelezwa!!!


 Daah,presenter Nico track mwenye chupa akijitahidi kumfariji mtu mweupe,

sababu alikuwa analia sana nakumtaja Langa kama rafiki 

aliyekuwa akimjali kuliko wote!!


 wataalam wa makabuli wakimalizia kufunikia kaburi!!
 Pichani Miraji Kikwete( asiye na miwani)akiweka shada la maua!!
 Daah,rafiki wa ukweli R.I.P!!!!!
 Hii ndio nyumba ya milele ya Langa!!!
 Miraji Kikwete mwenye black!!
 Baba na mama mzazi wa Langa makaburini!!

 Wazazi wakiwa wanapiga picha ya pamoja!!


 Mama Langa!!
 proffessor Jay mwenye brown pamoja na waombolezaji wengine!!
Katika picha ya kumbukumbu na babuu wa kitaa,mwenye miwani!!
Babuu wa kitaa akimuaga member mwenzake wa king'oko!!!

             

  Mungu akulaze mahali pema peponi amina

1 comment: