Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mfalme wa Swaziland, King Mswati
katika hafla ya chakula cha usiku alichokiandaa kwenye viwanja vya
Gymkhana, Dar es Salaam jana usiku, kwa waliohudhuria Mdahalo wa
Kimataifa wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa
Manufaa ya Wote (Global Smart Partinership Dialogue). TBL ni moja kati
kampuni zilizofadhli hafla hiyo.
Mahali palipoandaliwa kwa dina kwenye viwanja vya Gymkhana
Rais wa zamani wa Msumbiji, Joachim Chisano (kushoto) akikaribishwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernald Membe katika
hafla ya chakula cha usiku.
JK akiwa na Museveni wa Uganda (kushoto), King Mswati wa Swaziland na Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Alnold
Kilewo (kushoto), akiwa na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Chibuku cha Dar
Brew, Kilowi Suma (wa pili kushoto), katika hafla ya chakula cha usiku
iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete kwa marais na viongozi mbalimbali
waliohudhuria Mdahalo wa Kimataifa wa Ushirikiano wa Maendeleo ya
Sayansi na Teknolojia kwa Manufaa ya Wote (Global Smart Partinership
Dialogue). Kutoka kulia ni Kiongozi wa mabalozi wanaoziwakilisha nchi
zao hapa nchini, Halfan Mpango na Mkurugenzi wa Mfuko wa Sekta Binafsi
Tanzania (TPSF), Esther Mkwizu. Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ni kati
ya kampuni zilizofadhili hafla ya chakula hicho.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akihutubia katika hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete akiwaongoza baadhi ya marais na viongozi wengine
kucheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na kikundi cha sanaa cha Tanzania
House of Talent (THT), wakati wa hafla ya chakula cha usiku
Rais Jakaya Kikwete akiwaongoza baadhi ya marais na viongozi wengine
kucheza muziki uliokuwa ukiporomoshwa na kikundi cha sanaa cha Tanzania
House of Talent (THT), wakati wa hafla ya chakula cha usiku
alichokiandaa viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam jana usiku, kwa marais
na viongozi waliohudhuria Mdahalo wa Kimataifa wa Ushirikiano wa
Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Manufa ya Wote (Global Smart
Partinership Dialogue). Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ilikuwa kati ya
kampuni zilizofadhili hafla ya chakula hicho.
Bendi ya THT ikitumbuiza katika hafla hiyo
Msanii Mwasiti akipongezwa na Mbunge wa Afrika Mashariki, Adam Kimbisa.
Kulia ni Mbunge wa bunge hilo, Shy Rose Bhanji na Abdul Mwinyi ambaye
pia ni Mbunge wa Bunge hilo.
Kimbisa akiwa na Mwinyi, Bhanji na Richard Kasesera
MATI FOUNDATION YAZINDULIWA RASMI NA DC BABATI.
-
*Na mwandishi, Manyara.*
*Taasisi isiyokua kiserikali ya Mati Foundation yenye lengo la kusaidia
jamii ,wahitaji na makundi maaalumu ikiwemo wenye ulemav...
17 hours ago
No comments:
Post a Comment