MSANII Huyu aliekonga nafsi za wengi na kujizolea Furushi la mashabiki kwa kuimba staili ya kulewalewa Anatambulika kwa Jina la ''JONI WOKA'' Sasa aamua kunyoa Rasta na kubalidili muonekano, Baada ya kufanya mahojiano mafupi na mwandishi aliulizwa
kuhusu mziki akasema Yupo kwenye maandalizi makubwa na kwa leo hawezi
kusema chochote kuhusu mziki. Sasa Hebu angalia maoni yalivyoporomoka
hapo kwenye picha hii hapa chini, Hio ni katika ukurasa wake wa
Facebook.
JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA MABWENI NA MADARASA SHULE YA SEKONDARI DK.
SELEMANI JAFO
-
*MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akikagua ujenzi wa
mabweni mawili na madarasa katika Shule ya Sekondari Dkt.Selemani
Jafo,wakati wa...
2 hours ago



No comments:
Post a Comment