Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, June 8, 2013

MATUKIO YA KINACHOENDELEA KWENYE TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD






 Ben Paul akiwa amefika mlimani city
Jose Mara akiwa katika kapeti jekundu kwenye usiku wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro. Jose Mara anawania tuzo ya Mtunzi Bora wa Mashahiri upande wa bendi.

No comments:

Post a Comment