Kulia ni Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Focus Malengo athibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Na Prosper Mfugale Njombe.
Mkazi Mmoja wa Wilayani Ludewa Mkoani
Njombe Kosmas Luoga Amefariki Dunia Baada ya Kufukiwa na Kifusi Wakati
Akichimba Madini ya Dhahabu Katika Mgodi wa Kienyeji Ulioopo Wilayani
Humo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Focus Malengo AmethibitishaKutokea Kwa
Tukio Hilo na Kusema Kuwa,Tukio Hilo Limetokea June 3 Mwaka Huu Majira ya Jioni Katika Kitongoji Cha Aman Tarafa ya Lugarawa.
Amesema Marehemu Alifukiwa na Kifusi Wakati
Akiendelea na Shughuli Zake za Uchimbaji wa Madini na Hivyo Jeshi la
Polisi Linaendelea na Uchunguzi wa Tukio Hilo Huku
Likiwashauri Wananchi Kuwa Makini Ili Kupunguza Matukio ya Aina Kama Hiyo.
Wakati Huo Huo Jeshi la Polisi Mkoani
Njombe Linawashikilia Watu 37 Kwa Tuhuma Mbalimbali na Ambao
Wanatarajiwa Kufikishwa Mahakamani Wakati Wowote.
No comments:
Post a Comment