Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore. Kushoto ni Balozi wa Tanzania
India na Singapre Injinia John Kijazi na mbele yao ni Naibu Mkurugenzi
wa Itifaki wa Singapore Bi. Christine Tay.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe, Waziri wa Viwanda na
Baishara Dk. Abdallah Kigoda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Prof. Anna Tibaijuka mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya
chakula cha jioni kilichoandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC )
kilichoenda sambamba na mkutano wa wafanyabiashara wa Singapore ambapo
Rais Kikwete aliwakaribisha kuja kuwekeza nchini.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kasulu mjini Mhe Moses
Machali pamoja na wadau wengine wakati akiwasili Singapore.
Picha
juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore
leo wakati alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo marav
tu baada ya kutua kutoka Japan alikokuweko kwa ziara ingine ya kikazi.
Katika mkutano huu Rais Kikwete aliwakaribisha wafanyabishara hao wa
Singapore Tanzania kuwekeza katika sekta ya nyumba wakati wa chakula
cha jioni kilichoandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).(Picha na
IKULU).
No comments:
Post a Comment