Tume ya taifa ya Uchaguzi imesimamisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata nne jijini Arusha. Akizungumza
kwa njia ya simu na Radio TBC FM,kutoka Zanzibari mwenyekiti huyo wa
tume ya uchaguzi alisema kuwa wameamua kusimamisha uchaguzi huo ili
kuwapa nafasi vyombo vya usalama kuchunguza swala hilo.
Alisema kuwa sheria inawapa mamlaka kufanya hivyo pale wanapogundua kuwa hakutakua na uhuru wa mpiga kura kwenda kupiga kura.
Source: Radio TBC FM.
No comments:
Post a Comment