Habari nilizozipata, mda mfupi ulio pita ni kuwa mwanasheria wa continental ametuma barua ya kuitaarifu startimes kujitoa kwa startv rasmi startimes, na mda simrefu Itv nao wanatuma rasmi barua kama hiyohiyo, huk startimes mashop yote ya dar ya startimes yameambiwa yawataarifu wateja kuhusu kutoka kwa hizo channel mbili.sourca jamii forum
NTAENDELEA KUWA UPDATE.....
Source mimi mwenyewe toka maeneo ya hapa bamaga startimes, nimepata habari hizi nikiwa ndani ya duka lao mda huu..wakijadiliana watafanyaje???
Airtel, Huawei waimarisha ushirikiano kukuza mageuzi ya kidijitali Tanzania
-
KAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Airtel Tanzania na kampuni ya teknolojia
ya Huawei zimethibitisha upya dhamira yao ya kuendelea kuimarisha huduma za
maw...
21 hours ago


No comments:
Post a Comment