Kufika Njiani ilitubidi tusimame....Nilishangazwa na Mlima huu ikatubidi kushuka na kushangaa vizuri zaidi,,,hakika Tanzania yetu imebarikiwa..... |
Wasafi Crew....Kutoka kulia kwenda kushoto ni Qboy Msafii, Rama Mpauka,Mose Iyobo,I myself Presdent,Emma Platnum & Dumi Utamu...!! |
Eneo ili linaitwa Udzungwa....maeneo ya Morogoro...! hahahaha furaha ilitawala ghafla juu yangu... |
Swagg On....! |
Blue n white,Red Kidogo Gold on Air....Fly as Me...!! |
Hawa vijana bhana....wakataka kufanya gari la watu mti wa kurukia rukia..kisa tupo mkoani..!! |
VIVUTIO VYETU...... |
Nilivutiwa napo sana hapa,nilisimamisha safari kushuka na kupiga picha kwa ukumbusho mandhari ya hapa ni murua sana......na wewe inakubidi utembele maeneo haya... |
HAPPY PEOPLE.....!! |
Hondo Hondo Camp..... |
No comments:
Post a Comment