
Treni ya Mwakyembe inayofanya safari zake kati ya Pugu Mwakanga na TAZARA imegongwa na daladala ya Machimbo/Kariakoo maeneo ya Kiwalani mida hii.. Inasemekana chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa daladala aliyetaka kuliwahi treni ilihali lilikuwa limeruhusiwa. Bahati nzuri abiria wako salama japo wana majeraha madogomadogo na mshituko.

No comments:
Post a Comment