UPDATE ZA MSIBA WA NGWEA:::MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA HAUTAWEZA KUFIKA LEO JUMAPILI
Kamati ya msiba
tunaomba kutoa taarifa kwamba mwili wa marehemu ndugu yetu Albert
Mangwair hautafika siku ya Jumapili ya tarehe 02/06/2013 kama ilivyokuwa
imepangwa hapo awali,hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo
wetu.
Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wawakilishi
waliopo Afika Kusini,maratutakapopata taarifa hizo tutawafahamisha zaidi.
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment